
Timu ya Simba imetangaza kumsajili kiungo wa kati kutoka Kagera Sugar Nassoro Kapama kwa mkataba wa miaka miwili. Kapama alijiunga na Kagera Sugar kutoka timu ya Ndanda FC. Ni mmoja wa wachezaji kadhaa walioondoka Sugar katika dirisha hili la uhamisho. Wachezaji hao ni Hassan Mwaterema, Mwaita Gereza, Erick Kyaruzi, Sadat Nanguo, Yusuph Mpilpili, Cosmas Lewis […]
Simba SC: Nassoro Kapama asajiliwa kwa mkataba wa kudumu.
Leave a comment