
Simba SC imeandikisha mkataba wa miaka mitano na kampuni ya michezo ya kubashiri ya M-BET kuwa mdhamini wao mkuu. Wekundu wa Msimbazi walifichua hayo kwenye mitandao yake ya kijamii siku ya Alhamisi. Mkataba huo ulitiwa sahihi mnamo Julai 1, 2022. Simba hawakutoa maelezo zaidi kuhusu udhamini huo ila wakasema kuwa watafanya hivyo mnamo Agosti 1. […]
Simba SC: Klabu hii yafanya makubaliano ya udhamini na M-Bet.
Leave a comment